Search This Blog

Sunday, November 1, 2015

NINAUZA TOYOTA WISH

Ninauza toyta  wish, namba B, full music, sport rims, tairi mpya. kama unahitaji maelezo zaidi andika comment yako hapa

NINATAFUTA OPA

Mambo.
niko moshi ninahitaji gari aina ya opa. ka unajua ninakoweza ipata kwa bei poa, drop picha hapa na namba yako tafadhali..

Sunday, October 11, 2015

NOAH FOR SALE

MAHALI------ DAR ES SALAAM
kama umeipenda andika comment na utapatiwa namba ya muuzaji.


Saturday, October 10, 2015

HABARI
HII BLOG NI KWA AJILI YA KUTANGAZA BIASHARA YAKO. 
UKIWA NA TANGAZO LOLOTE TUMA KWENDA KWA EMAIL HII biasharatz101@gmail.com NA WATAALAMU WETU WATAEDIT NA KUPOST TANGAZO LAKO. 
MATANGAZO 10 YA KWANZA HAYATATOZWA GHARAMA YOYOTE. BAADA YA HAPO KILA TANGAZO LITATOZWA 3,000 KWA WIKI IKIJUMUISHA VAT.
KUWA WA KWANZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO NASI.